.

Friday, May 28, 2010

ZE COMEDY SEARCH...LIVE!

He huyu vp Mzee wa Mpododo...mbona anatutisha?!!

...AKA Mzee wa Kutembeza ishara kimyakimya,naye alishinda!

....Mangi Mtata...aka kibagaugaga,naye alipita!

....Ujiko Ujiko bwanaaaa....Nimepitaaaa!

...Shangaaaazzzziiiii....nimekubali matokeooo...shangaaziiii!

...Master Face...kazini..kura zilitosha!

...MC akiongea na aliyekua mshiriki wa Ze Comedy Search!

...Wadhamini wa Ze Comedy Search...

...Uncle Nkwabi na Dada Asha,waliokua majaji Ze Comedy Search!

...Sasa Jaji...hii miwani inakuje eeh?!

...Aaah Ombeni baba..mzigoni!

..Crew nzima ya EATV mzigoni!

...Baadhi ya wageni wakiangalia Live fainali studio!

....Wageni waalikwa LIVE studio!

..Mdau akiuza kwa tabasamu la mwisho wa mwezi!

...Mdau wa Mpango Mzima...naye alivunja kabati!

..Evans Bukuku....MC wa Ze Comedy Search!

...Arbabu tafrani,mzigoni!

...Mchaga wa 1 kukosa duka aka Kiwewe,naye kura zilitosha!

...Heee weee vp....Asenti inatoshi tafazalo!

...Mzaramu halisi na Mzee wa ujikoujiko!

....Top 10...Presha ikipanda,wakisubiri majibu ya mtihani!

...Wana wamelipuka pamba za sikukuu!

...Baadhi ya ndugu na jamaa wakifatilia ''LIVE'' mchuano nje ya Studio!

**********************
Komba Muhili said... Mkitaka ze comedy Iwe nzuri zaidi mrudisheni kingwendu

...50 CENT NOMA...TEJA AU NDO HAKUVAA???!!

...50 Cent akiwa fit kama kawa!

...50 Cent anavyoonekana sasa!

...Kama vp unaweza sema teja!

Curtis James Jackson III aka 50 Cent kwa sasa anataka kuingia 'deep' kwenye movie na amepunguza uzito kwa kiasi kikubwa ili awe fit ku-act kwenye movie yake mpya ya ''THINGS FALL APART'' ambayo mbali ya kuwa starring pia ni mtunzi.

Mbali na uzito 50 pia ametoa Tatoos zake zote mwilini mwake na kupunguza uzito hadi pound 50 kwa wiki 9 ili awe fit zaidi atacheza kama mcheza mpira anaeyeugua maradhi ya cancer na kuahidi atarudi kuwa fit muda si mrefu baada ya kumaliza movie hiyo itayotoka mwaka 2011.

****************************
maoni ya mdau....

Dat not him wewe how u remove Tatoo and zake sio temporary ni Permanent acheni story jamani hiyo ni mambo ya Comp tuuu

Thursday, May 27, 2010

NAKAAYA...MH. MTARAJIWA TO BE!!

Mwanamuziki Nakaaya Sumari ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa viti maalum mkoani Arusha kupitia Chama Cha Chadema.
Kwa sasa ameshachukua fomu za kugombea nafasi hiyo,na alisema kilichomsukuma ni uchungu alionao katika kuwatetea akina mama,hususan masuala ya afya na uzazi.
.............KILA LA HERI MHESHIMIWA MTARAJIWA..GOOD LUCK!!

REST IN PEACE!!!

....Siphiwo Ntshebe (Opera Singer) mwana alibakiza wiki 2 tu apige show ya ufunguzi kwenye Kombe la Dunia 2010,amefafiki dunia Juzi tar 25 May,baada ya kuugua ugonjwa wa uti wa mgongo (menengitis).Mzee Nelson Mandela ndio alimchagua ili apige mzigo huo.

Wednesday, May 26, 2010

BREEEKINGG NEEEEWWWWSSSS!!!!

Kocha wa Timu ya taifa ya Argentina,Diego Armando Maradona ameahidi kutembea ''kama alivyozaliwa'' kwenye mitaa ya Mji Mkuu wa Nchi hiyo Buenos Aries,kama timu yake itanyakua Kombe la Dunia mwaka huu huko Sauz' 2010

SWALI LA KIZUSHI!!????

...'Blaza' atashangilia timu gani...???!!!

...Na huyu je kageuka Paparazi au.....???

...Na hii ni ngoma gani..Baikoko,Segere,Mduara,Sebene,Mdundiko...au Msewe???


MAONI YA MDAU TOKA USA KUHUSU...ROMA!

Roma...TZ Hip Hop Artist!

Unajua wewe umechanganya vitu viwili.. Uhalisia na Hasira,Kuna kitu unatakiwa ufaham kukosa tuzo haina maana wewe sio bora,ilamwenzio anaweza kuwa bora zaidi yako na kamwe usiji judge wacha watu waku judge, Mimi naamini kabisa ni kweli tuzo zina kasoro ingawa siku zote hazikosekani,umezungumzia wasanii wa hip hop kama wa tatu ungetaja tu majina acha majungu dogo umezungumzia fid, joe na chid.


Sasa tuje kwenye uhalisia,katika nguzo za sanaa kuna kuburudisha pia na kuna uwezekano mkubwa tu kigezo hicho kikampa kura mtu, mfano,kuliko anzia chimbuko la hip hop (marekani)kuna watu kama talib kweli, common,nas na wengine wengi tu hawa ni watu wanaoongea vitu vya msingi na wana heshima yao kwa hilo ila tuzo ya kwanza ya common kapata mwaka 2008,kwenye beef ya Nas na jigga.. Jigga ni street commercial Nas ni street sence na kila mmoja ana nafasi yake ingawa Jigga ni more successful than Nas.

Nimezungumza haya kwa kuwa wewe na nyimbo yako ya president ambayo kimsingi umeongea vitu vya msingi sawa ila haina maana eti iipiku danger kisa ni more commercial aah men kama ingekuwa hivyo basi wagosi wangejaza kabati hatuendi hivyo grow up son! Kila mmoja ana nafasi kulingana na upokelewaji na hata promo.. wakati Fif anatoa album na Kanyiz pamoja watu walijua Fif atam-out sale kanye but its not all bout Fif its bout label n promo sometimes.. umezungumzia kuhusu mtu mwenye jina na album yes ni kweli mwenye jina na album ana nafasi kubwa coz yupo masikioni mwa watu sana kuliko wewe mwenye single moja..

weezy is the best emcee alive but wat does he talk n is music...? rubbish innit? Drake ni hit wa 2009 ila legends are gretest of all times... acha upuuzi wa kujiona bora kaza matako fanya kazi za maana inshaalah utapata tuzo give 110% kazizako punch lines na concious za kufa mtu utafanikiwa sio single moja kelee kuliko uwezo, na kama ni hivyo i blv utatoka na album sio? sasa tutaona kama nyimbo zote utaongea sence na hautozungumzia majigambo na ndio maana ya hip hop.

Mwanaharakati wa Hip Hop
USA


.....THANX MDAU TOKA KWA OBAMA!
Dat it iz son...umeongea ukweli sana mchz wa kwa Obama,kina Krs One na wanahphop wengine conciouz hawalambi tuzo km kina Snoop though lyrics zao zina utofauti mkubwa...huyo Roma anaandika lkn c kiviilee km kina Kikosi,mapacha,watengwa,river camp na hata Sugu ila tuzo kwao wanaziskia kwny radio...dogo akaze mwanzo mwisho atatoka tu kuliko kuanza kumuongelea Fid au Joh Makini nadhani ni non sense....rrrrrrrrraaaaaaaaaaaah Hip hop 4 life!!!
*****
************************************
....Nimekusamehe wangu...1 Love,Keep it Real!!....MDAU

Tuesday, May 25, 2010

D'BANJ ATOKA NA SINGLE!


Genevieive Nnaji

Mwanamuziki na Perfomer Bora wa Mwaka wa Tuzo Za MTV 2009,D'Banj ametoa single mpya Mr Endowed ikiwa ni maandalizi ya kutoa Album yake mpya 2010.

Mwana kwa sasa ame "Fall in Love" na Mkali wa Movie za Nollywood,Genevieve Nnaji,na D'Banj ambaye ana CV nzuri ya kufanya ngono kabla ya kupanda stejini kupiga show,amesema kwa Gene amefika ''Kigoma mwisho wa Reli''.....!

...HEEE...BRAZIL KUTUA BONGO?!!

...Brazil AKA Selecao wakiagwa na Rais wa Brazil,Lulu Da Silva (mwenye jezi No 2 ya Maicon) ni 1 st Lady wao,Marisa Leticia!

...Brazil...!
...Uwanja wa Taifa ukiwekwa sawa kwa kipute...!

Timu ya taifa ya Brazil chini ya Kocha wao "Captain Dunga" watatua Bongo tar 5 Juni wakitokea Sauz' kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars,June 7 Uwanja wa Taifa na baadae kurudi tena Sauz' kwenye Kombe la Dunia....TFF chonde chonde baba kiingilio,isije ndo ikawa wakati wa mavuno tena.mtufikirie na wenye kipato cha chini...eeeeeh!

P-SQUARE,K N'AAN NDANI YA BET AWARDS 2010..!

...P-Square...Nigeria!

...K'Naan...Somalia!

...Estelle...UK!

Wakali P-Square toka "Naija" wamechaguliwa kuingia kwenye mchakato wa kutafuta tuzo ya wasanii bora wa kimataifa kwenye Tuzo Za 10 za BET (BET AWARDS 2010)

Wana watakua pia kundi moja na K'Naan,Estelle.Tuzo zitafanyika jijini Los Angeles-Marekani,tar 27 June na MC atakuaQueen Latifah.

...AKA SAVIMBI,AJA KIMATAIFA ZAIDI!

Q-Chillah AKA Savimbi ametoa jiwe jipya "Nyimbo Tamu" ambayo Lamar amenyonga beat,na Mamaa Dida akisimamia mpango mzima.hii single itakua ya 2 kwenye Album yake mpya itakayoitwa "A SIGN OF MATURENESS" itakoyokua na track 14,na kwa sasa michongo inaendelea ili Lamar asimamie mzigo mzima.

CHILLAH!....Thanx 2 Dida Fashion,Lamar,Fans 4 being patience na Media zote kwa support...I'M BACK....LUV U...!!!

..''ALMASI'' YALA KICHAPO..IRINGA!

...Diamond akikamua...Miss Iringa 2010..!

Mshindi wa Tuzo 3 za Kili 2010,Diamond amechezea kichapo Mkoani Iringa mara baada ya kushuka kwenye stage alipokua anapiga show ya Miss Iringa 2010.

Baada ya kutoka nje ya Ukumbi,Diamond alimtukana Dj Muba aliyekua anasema na wana katika show hiyo,na kumuonyeshea ishara ya kidole cha kati,na kufanya Fans wa Dj huyo kum-mind kwa kua mchizi wao ndio anawarusha kwenye Radio na Club VIP,so zilitembea ishara tu kimyakimya na wana wakaanza kumpa kipondo a.k.a kichapo huku wakimwambia kua Dj wao Muba ni star mara 100 kwao zaidi yake,na kama ni tuzo na u-star ni kivyake-vyake.

...Pole mwana...si kupenda kwako ni hali ya maisha...!

source; francisgodwin@blogspot.com

Monday, May 24, 2010

..WANA WATAKAOTISHA SAUZ...!

Fernando Torres...Spain!

Wayne Rooney...England!

Frank Ribery...France!

Arjen Robben...Holland...!

Lois Fabiano...Brazil!

Lionel Messi...Argentina!

Christiano Ronaldo...Portugal!