
SIKILIZA EAST AFRICA RADIO KILA JUMAPILI SAA 10 - 12 JIONI KWA NGOMA KALI ZA LONG TIME KAMA SHOULD I SAY YES,NIGHT SHIFT,LET'S GO DANCING,ELLUSION NK NA DJ 45 KING...WAY BACK HITS!
Ni jamaa ambaye amelalamika sana kuhusu mama watoto wake anafahamika kwa jina la Mama Halima kuwa amemtenda sana na hakutegemea hilo kwa bi shosti huyo.
RIP NELSON CHRIZOSTOM BUCHARD AKA FAZA NELLY (1976-2006)
Mchizi anajulikana kama Nazir Ally AKA Naz D (shati jekundu) toka pande za Zenji ameibuka na kudai kuwa Beat ya Usije Mjini ambayo wana AY & FA wametia mavocco humo ndani ni mali yake na aliinyonga Producer Pancho na Pancho ameitoa bila ridhaa yake,na yeye kudai kua haina kwere ila yeye nae atatoa ngoma kwa beat hiyo hiyo.....na atakuja mjini na track yake!!!
Wimbo wa Mhhhh Mhhhh....Al Baaaataaaa toka kwa Offside Trick umepigwa marufuku visiwani Zanzibar. Bring a long with you, Your brothers and sisters..your cousins, your Children...your friends Children, your big sisters and big brothers, your friends...your friends friends...Ur Future will never remain the same
Come and experience The Word The praise and Worship,The Dancing and Drama...Free Drinks and Snacks will be available also ..............

Mkali toka Kenya,Wyre amepiga collabo na Mwanamuziki Mkali wa KwasaKwasa toka Congo DRC,Kanda Bongo Man.
Nakaaya-Ubunge,Arusha-CHADEMA
Joseph Haule AKA Mwana wa msolopa gazi AKA Mti Mkavu AKA Mc shupavu AKA Heavy Weight MC AKA Mr red carpet AKA Mwanaharakati..(Mhh hiyo yangu) ...Mwezi huu anaanza Hip Hop Tour yake ya kimuziki nchini Marekani.
mb dogg amesafiri kuelekea uingereza kwa ajili ya show ambazo zitachukua takriban wiki tatu. akiwa huko atapafom ktk mij tofaut ukiwepo milton keynes, bss onx bristol, pia birmingham. 


Leo 25 June 2010 imetimia mwaka 1 tangu mfalme wa Pop dunuani,Michael Joseph Jackson aiage dunia akiwa na miaka 50.
Marehemu Manute Bol (urefu Futi 7.7)
Mwanadada Nazizi toka Kenya anayeunda kund ila Necessary Noise na Wyre,Pamoja na lile la East Africa Bashment Crewinasemekana amejifungua hivi karibuni baada ya kuolewa kwa siri kwa zaidi ya miaka 2 sasa huku siri hiyo ya kuolewa kwake ilikua inajulikana kwa watu wake wa karibu wa familia tu...!