Msanii Jordin Sparks akisaidiana na mbunifu wa vito Tim Foster, amebuni cheni yake ambapo fedha zitakazo patikana baada ya mauzo ya cheni hiyo zitasaidia wahanga wa Haiti.
Cheni hiyo inatarajiwa kuuzwa kwa dola 125 na asilimia 30 ya mapato itaenda katika mfuko wa msaada wa msanii huyo. Jordin pia ni moja kati ya wasanii walioshiriki katika kurekodi kwa mara ya pili wimbo wa 'We are the World' .
PIC YATEMBELEA MAABARA ZA TBS, YAFURAHISHWA UTENDAJI KAZI WAKE
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeipongeza
TBS kwa kazi nzuri yenye weledi hususani katika ...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment
,