.

Tuesday, September 7, 2010

SIKILIZA.....SUNDAY SOUL @ EAR KILA JUMAPILI!


SIKILIZA EAST AFRICA RADIO KILA JUMAPILI SAA 10 - 12 JIONI KWA NGOMA KALI ZA LONG TIME KAMA SHOULD I SAY YES,NIGHT SHIFT,LET'S GO DANCING,ELLUSION NK NA DJ 45 KING...WAY BACK HITS!

5 comments:

 1. Tuko pamoja East Africa Radio hiyo program iko poa sana na East Africa Radio iko poa sana hiyo ndio Head Quater of intertainment

  ReplyDelete
 2. miaaaaaa... karibu sana mkaka.....!!!

  ReplyDelete
 3. mimi ninachoomba yule presenter wa planet bongo apunguze kutumia nguvu pindi aongeapo,sina nia mbaya ni ushauri tu

  ReplyDelete
 4. yeah brada DULLAH anapresenter program vizuri but kaka kama unatumia nguvu nyingi kiasi kwamba hata ukiongezewa muda utakuwa unabadilikabadilika huto kuwa straight just relax

  ReplyDelete
 5. ebanah mapromoter mbona hawa fikii mikoa mingine.ebana wa encourag wafike bana.frm masokola jose tbr

  ReplyDelete

,