SIKILIZA EAST AFRICA RADIO KILA JUMAPILI SAA 10 - 12 JIONI KWA NGOMA KALI ZA LONG TIME KAMA SHOULD I SAY YES,NIGHT SHIFT,LET'S GO DANCING,ELLUSION NK NA DJ 45 KING...WAY BACK HITS!
SINGIDA WAANZA KUTOA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA UZAZI KWA WASICHANA
178,114.
-
Mkoa wa Singida umezindua rasmi zoezi la utoaji wa chanjo wa Saratani la
mlango wa uzazi kwa wasichana mwenye umri kati ya miaka Tisa hadi 14 ambapo
Wasi...
14 hours ago
Tuko pamoja East Africa Radio hiyo program iko poa sana na East Africa Radio iko poa sana hiyo ndio Head Quater of intertainment
ReplyDeletemiaaaaaa... karibu sana mkaka.....!!!
ReplyDeletemimi ninachoomba yule presenter wa planet bongo apunguze kutumia nguvu pindi aongeapo,sina nia mbaya ni ushauri tu
ReplyDeleteyeah brada DULLAH anapresenter program vizuri but kaka kama unatumia nguvu nyingi kiasi kwamba hata ukiongezewa muda utakuwa unabadilikabadilika huto kuwa straight just relax
ReplyDeleteebanah mapromoter mbona hawa fikii mikoa mingine.ebana wa encourag wafike bana.frm masokola jose tbr
ReplyDelete