Mchizi kutoka Arusha Joh Makini amewalalamikia jamaa ambao wanatumia mashairi ya nyimbo zake kutengenezea tshirt , kwa mfano ngoma ya STIM ZIMELIPIWA tayari tshirt zimeshatoka nyingine ni MWAMBA WA KASKAZINI.
Makini anasema tshirt hizo hausiki nazo na anawaomba mashabiki zake kuto kuzinunuwa kwa sababu hazimuingizii chochote, na tayari anashughulikia ishu za kisheria kwa ajili ya hawa jamaa wanaopiga hayo magumashi.
Anasema mchizi mmoja anaitwa Luka wa Sinza kijiweni yeye ni moja kati ya hao wanaofanya hivyo, ameniambia nguo zake atazitowa muda si mrefu na zitapatikana kwenye duka la washkaji wa Maujanja Mwenge.
BARAZA LA USHINDANI LATOA ELIMU KWA WADAU DODOMA
-
*KATIBU Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar Mmuya,akisisitiza jambo wakati
akifungua semina ya baraza la ushindani (FCT) kwa wadau wa Mkoa wa Dodoma
len...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment
,