Jamaa wanatokea katika kundi la Tip Top Connection ambao wanafanya vizuri katika game la Bongo Flava, hapa namzungumzia Tunda Man pamoja na Madee wamesepa kuelekea South Africa kwa ajili ya kukamuwa show mbili.
Show ya kwanza itakuwa tarehe 11 Captown na ya pili itakuwa tarehe 12 Daban na wanategemea kurudi Bongo juma nne ijayo. Tunda pia alinijuza kuwa jamaa wa Textile Campany ndio wamesababisha mchongo huo.
WAZIRI JAFO AHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt.
Selemani Jafo amesema nishati safi ya kupikia inajumuisha mbinu zote
zinazomuwez...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment
,