Kuna kila sababu ya kulifanya hili ni kukaa nao pamoja ili wasijisikie upweke na wajihisi kuwa wote ni watoto wa baba mmoja, hilo ndio dhumuni kubwa lakufanya tamasha ambalo litawahusisha watoto yatima wote lakini watakutanishwa sehemu moja tu ni katika kituo cha Help Ophrarn Tanzania.
Tamasha hili limeandaliwa na kipindi cha Bongo Movies kinachorusha EATV na mratibu wa tamasha hili ni Joyce Kiria na litafanyika januari mosi pia watoto hao watapata nafasi ya kukutana na mastaa mbali mbali wa movies pamoja na Bongo Flava.
UWAKITA WAZINDUA KAMPENI ZA KUHAMASISHA UELEWA MARADHI YA KIFAFA NCHINI
-
NA MWANDISHI WETU ,DAR ES SALAAM .
JUMUIYA ya Wazazi na Watu wanaoishi na hali ya kifafa (UWAKITA),imezindua
rasmi kampeni za kuhamasisha uelewa juu ya m...
20 minutes ago
No comments:
Post a Comment
,