Ni Herieth binti mdogo sana katika muziki huu wa hip hop hapa bongo. Ambaye anaamini anauwezo mkubwa sana wa kuchana lakini bado hajapatiwa nafasi ya kuonyesha uwezo wake na ndio mana MPANGO MZIMA imempa hili shavu la kuwepo hapa leo.
Ngoma yake ya kwanza alifanya na Linex inaitwa wanapo sikia ni moja kati ya ngoma ambazo ameonyesha uwezo mzuri sana, lakini kwa sasa yupo katika harakati za kushusha mkwaju mwingine mpya unaitwa "PUT YA GUNZ DOWN". Sikiliza Planet Bongo jumamosi kuanzia saa nne asubuhi East Africa Radio.
TRA, ZRA ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI WA MIPAKA YA TANZANIA
NA ZAMBIA
-
Na mwandishi wetu Tunduma
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Ban...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment
,