Baada ya kufanyika usaili wa kutafuta vichwa ambavyo vita kamua katika kipindi cha Ze Comedy sasa mpango mzima utauona kupitia Tv yako ya kijanja EATV.
Utapata kuona mchakato mzima jinsi ulivyo na utafahamu ni kwa jinsi gani watu hao watapatikana. Huu ndio wakati wa kukamilisha ndoto ya kuwa mchekeshaji hapa bongo si unajuwa vipaji vinaanzia hapa EATV na kusambaa kwingine.....??? hilo halina ubishi.
Ni Alhamis hii saa moja kamili jioni EATV pekee...
TAWA yatoa tahadhari kwa wakazi wa DAR juu ya uwepo wa Mamba na Viboko
-
NA MWANDISHI WETU
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wametakiwa kuchukua taadhari kutokana na
kuwepo kwa uwezekano wa Mamba na Viboko kuzagaa kwenye maeneo ya...
15 minutes ago
No comments:
Post a Comment
,