PLANET BONGO KILA JUMAMOSI SAA NNE ASUBUHI EAST AFRIKA RADIO NA KILA JUMA TANO SAA TATU KAMILI USIKU EATV.
KUWA MAKINI
TULIA NA MMOJA UNAYE MPENDA, ACHA NGONO ZEMBE
POWER JAMS
POWER JAMS,JUMATATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 10 ALASIRI EAST AFRICA RADIO.
MATING'A
DEEJAY AD a.k.a MAFUVU.
KUTANA NA DEEJAY AD KWENYE POWER JAM KILA J.3 NA ALHAMISI (1:00 - 4:00 pm), THE CRUISE J5 (8:00-9:00 pm), PLANET BONGO JUMAMOSI (10:00 - 12:00 pm) & FNL. NDANI YA EAST AFRICA RADIO & TV, TING'A KALI NAMBA MOJA KWA VIJANA
...BATA NITE!!!
SAUZ...2010!!!
Wednesday, February 10, 2010
BEBE COOL ANAKOMAA NA FIDIA..
Mwanamuziki Moses Ssali a.k.a Bebe cool amefunguwa kesi ya madai kiasi cha shillingi millioni mia nane ya Uganda kama fidia.Bebe Cool pamoja na walinzi wake walipigwa risasi hivi karibuni baada ya kuzuka vurugu baina yao na polisi.
Msanii huyo amedai kuwa serikali ndio inawajibika kwa vitendo vya polisi hao. Madai hayo yameandikwa kuwa msanii huyo anategemea maonyesho yake kupata kipato chake na kwa kuwa inawezekana akakaa kitandani kwa muda wa miezi sita na zaidi anataka alipwe kiasi hicho cha fedha kama fidia.
NI WEWE KAMPENI, MAENEO YA ITUNUNDU PAWAGA JANA
-
Ni Wewe ni kampeni iliyozinduliwa na redio Ebony FM iliyoko Nyanda za juu
kusini, ikiwalenga zaidi wananchi wa vijijini ambao miundo mbinu ya umeme ...
HARD PRICE COMING SOON
-
* Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa
kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisinge...
No comments:
Post a Comment
,