
G-Sollo leo ilikuwa azinduwe kitabu chake cha 'HARAKATI ZA BONGO FLAVA NA MAPINDUZI' kwenye tamasha la Sauti za Busara lifanyikalo Zanzibar.
Mpango mzima inampa pole G-Sollo na ipo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu cha maombelezo.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMIN.
RIP Mama...Pamoja Solo katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteHili na kwa mmiliki wa Blog hii. Jaribu kuangalia picha ambayo umeweka na habari uliyoandika kama zinashabihiana. Jaribu kutoa opicha ambayo italeta uhalisia wa taarifa inayopelekwa. Ni hayo tu. Ahsante.