Kutunza pia ilikuwepo ukihisi burudani imekuhusu basiiii mpango mzima..
Pia kulikuwa na nafasi ya kusikiliza ngoma zilizomo kwenye albam yake..
Huyu ni Luch Producer ambaye anafanya kazi na Cpwaaa.. alipata na fasi ya kupiga domo kidogo.
Huyu ni mama yke Cpwaa naye alikuwepo kumpa taf mtoto wake.
Jamani eeeh...!!! huyu ndio bi mkubwa kama mlikuwa hamjui ndio hivyo sasa.
Urambo , Kaliua wafanya kikao cha ujirani mwema kupitia Upya mipaka ya
kiutawala - Ded Grace Quintine
-
Na Mary Margwe, Kaliua
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora Grace
Quintine amesema wamefanya Kikao cha Ujirani mwema na Ha...
43 minutes ago
Hey wadau!
ReplyDeleteNapenda kutoa pongezi za dhati kwa CPWAA, AMBAE PANDE ZA MBEYA ALIKUWA ANAJULIKANA KAMA CLAZY POWER.
NI KWAMBA MI BINAFSI NAMFAHAMU KITAMBO TOKA ENZI ZA MBEYA DAY SEC. KWA MAANA HIYO BASI NAMTAKIA MAFANIKIO SANA KWENYE GAME.
NA PIA WADAU KAMA EATV MUENDELEE KUSAPOTI SANAA NA WASANII ILI WAWE JUUUUU ZAAAAAAAAAAAAAAIIDII.
BIG UP DULLAH
N WA KINO
mzuka sana kaka nia nikuuwezesha muziki wetu uwende mbali zaidi..
ReplyDelete