Edward Fatu kutoka visiwa vya Samoa almaarufu kwa jina la UMAGA ambaye ni bingwa wa zamani wa michuano ya mieleka amefariki dunia baada ya kupatwa na shinikizo la damu.
Inasemekana alishikwa na usingizi wakati akitazama televisheni Al-hamis usiku, alikutwa na mkewe masaa kadhaa baadaye akiwa hapumui huku damu zikimtoka puani na kuamua kumkimbiza katika hospitali ya jirani. Umaga amefariki akiwa na umri wa miaka 36.
TANZANIA YAUNGA MKONO UAMUZI WA SADC - MAJALIWA
-
*Ni kuhusu mbinu za uvunaji wa maji na udhibiti wa mafuriko
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania inaunga mkono uamuzi wa
Jumuiya ya Maendeleo y...
20 minutes ago
kweli amefariki?
ReplyDeletenilikuwa nampenda sana katika mchezo wake wa mieleka.hasa napenda ile style yake ya kuwapiga watu mabuno.