Mama yake mzazi msanii wa hip hop bongo G-Sollo amefariki dunia saa 5, usiku wa kuamkia leo mkoani Iringa, Shughuli zote za mazishi zinafanyika Dodoma nyumbani kwao G-Sollo.
G-Sollo leo ilikuwa azinduwe kitabu chake cha 'HARAKATI ZA BONGO FLAVA NA MAPINDUZI' kwenye tamasha la Sauti za Busara lifanyikalo Zanzibar.
Mpango mzima inampa pole G-Sollo na ipo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu cha maombelezo.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMIN.
Kutoka Simu Janja Mpaka Luninga: Umuhimu wa Usalama wa Taarifa Zako kwa
Kila Kifaa
-
Nani alishawahi kufikiria kwamba itafika siku ambayo vile unavyolinda simu
yako dhidi ya uhalifu wa mtandaoni ndivyo itakavyokuja kuwa sawa na kwa
luninga...
1 hour ago
RIP Mama...Pamoja Solo katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteHili na kwa mmiliki wa Blog hii. Jaribu kuangalia picha ambayo umeweka na habari uliyoandika kama zinashabihiana. Jaribu kutoa opicha ambayo italeta uhalisia wa taarifa inayopelekwa. Ni hayo tu. Ahsante.