.

Tuesday, April 27, 2010

UHURU TOUR ILIANZIA DAR KWENDA MWANZA

Baada ya mchiz kukamua bongo pale makao makuu ya Zain ikafikia time ya kwenda Mwanza, Arusha kisha kurudi tena Bongo...

Dj Mafuvu, Domonicky Nyalifa na Dullah... hapo ni Airport tayari kabisa kukwea pipa mpaka Mwanza kwa ajili ya show ya J Martins.

Kelvin Twiser na J Martins story kidogo kabla ya kusepa kuelekea Mwanza.

Dj Kim akiwa kwenye mstari kabla ya kukaguliwa na kukwea.

Dullah na J Martins..

Dickson na Ngali.. hivi ni vichwa vingine kutoka EATV ingawa huwa hauvioni kwenye kideo.

Hawa ni jamaa wa Zain ambao nao pia walikuwa kwenye huo msafara wa kuelekea Mwanza

Dullah ndiye alikuwa mc wa show zote Mwanza, Arusha na Dar.

Time ya kuondoka ikafika tukawa tayari kuelekea kwenye ndege kwa ajili ya kuitafuta mwanza, ilikuwa safari ya kama saa moja na dakika hamsini na tano hivi.

Dj Kim ndani ya pipa..

A.Y na J Martins..

Mafu.. mafu.. mafuvu babyyyy....!!!

Chombo tayari kipo hewani kuitafuta Mwanza..

1 comment:

  1. basi dogo unachekelea! nice work mtu mzimaa alafu siku hizi unanenepa na unanazidi hua handsome sijui coz sijakuona long. anyway keep it up mwaya

    ReplyDelete

,