.

Saturday, April 3, 2010

HEMED AMEPOTEZEA MAZIMA ISHU ZA FILAM

Mchiz alianza kung'aa kwenye mashindano ya kusaka vipaji vya uwimbaji jijini Nairobo na baadaye kurudi bongo kuendeleza makamuzi na baada ya muda si mrefu akaanza kujihusisha na soko la filam za bongo huyu si mwingine ni PHD Hemed Suleiman.

PHD ameamuwa rasmi kutojihusisha tena na maswala ya filam na zaidi muda wake atakuwa anautumia katika muziki.

Sababu ya mkaka huyu kufanya hivyo anasema "Nahisi bado sijatimiza na kuyatekeleza yale yote niliyofundishwa na mwalimu wangu kule Nairobi kwenye project fame, sasa najipanga na ngoma mpya inaitwa Far Away" Hayo ndio maneno ya Hemed na ndio uwamuzi wake kwa sasa.

1 comment:

,