Msanii wa nchini Uganda, Jose Chameleone amechaguliwa kuwa mmoja kati ya wasanii watakao toa burudani siku ya ufunguzi wa wa kombe la dunia nchini Afrika Kusini.
Chameleone ambaye atawakilisha Afrika mashariki mwezi june, inasemekana ameingia mkataba wa dola 50,000 kwa ajili ya safari hiyo Afrika Kusini.
MSAMA AMKUMBUKA HAYATI BERNARD MEMBE,AWAOMBA WATANZANIA KUMKUMBUKA, KUMUENZI
-
Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI wa Msama Promotion, Alex Msama amewaomba Watanzania kukumbuka na
kuenzi mambo mema yaliyofanywa na aliyewahi kuwa Waziri...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment
,