Mkali wa miondoko ya R&B Rihanna ameibuwa uvumi kuwa amenasa kimahaba kwa mchezaji wa baseball Matt Kemp baada ya wawili hao kuonekana wakiwasili Las Angeles baada ya kufanya tamasha la mwaka mpya katika Falme za Kiarabu.
Rihanna alifanya tamsha hilo la funga mwaka wiki iliyopita katika hotel moja huko Abu Dhabi na kwa mujibu wa mapaparazi walikuwa wameongozana na mchizi.
Tangu Rihanna atengane na Chris Brown Februari mwaka jana amekuwa akihusishwa kuwa na uhusiano na mastaa kadhaa akiwemo Justin Timberlake pamoja na mcheza filam Tristan WIlds , hata hivyo yeye amekuwa akikanusha.
MICHEZO NI AFYA, NI FURSA YA AJIRA - MAJALIWA
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani,
ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa mwilini.
“Kama mnavyofahamu, michezo ...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment
,