Unamkumbuka Man x mchizi aliyekuwa anafanya poa sana katika muziki wa kikzazi kipya kipindi hiko jamaa anatokea Temeke na hatuja msikia kwa muda mrefu sana katika muziki huu.
Lakini kwa sasa ameamuwa kurudi rasmi na kujiunga rasmi na kundi la TMK MAJITA ambapo kwa sasa wapo mbioni kutoa albam yao paomoja singo itakayo rudisha rasmi kundi hilo katika game ya bongo flav.
MICHEZO NI AFYA, NI FURSA YA AJIRA - MAJALIWA
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani,
ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa mwilini.
“Kama mnavyofahamu, michezo ...
3 hours ago
underground....LOL
ReplyDelete