Nadir Haroub alihakikisha anakomaa kiume ili Drogba asilete madhara zaidi.
Kipa Mwalami wa Taifa Stars alikuwa na kibaruwa kigumu kuhakikisha ulinzi wa goli letu unakuwa wa uhakika wakati wote.
Mchezo huo uliisha kwa Taifa Stars kufungwa goli moja na Ivory Coast goli lililofungwa na mshambuliaji hatari wa timu hiyo Didier Drogba.
UDOM KIDEDEA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI TANZANIA.
-
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeshinda Mashindano ya Kitaifa ya TEHAMA ya
HUAWEI Tanzania kwa kutoa washindi 7 kati ya 12 waliofikia hatua ya
fainali....
9 minutes ago
No comments:
Post a Comment
,