G Sollo ni moja kati ya wanamuziki wa hip hop bongo na pia ndio mwaandishi wa kitabu kipya kinachohusu ishu za bongo flava, Kitabu hicho kinaitwa HARAKATI ZA BONGO FLAVA NA MAPINDUZI.
G Sollo ameamuwa kuandika kitabu hicho ili kuelezea athali za muziki huu wa bongo flava pamoja na faida zake kiujumla tofauti na hilo kitabu hicho pia kina barua maalum ambayo ameamuandikia mh. Rais.
G Sollo ameniambia kitabu chake kipo katika matayarisho ya mwisho na tarehe tano ya mwezi wa pili kitakuwa mtaani kwa ajili ya kuwapa raia nafasi ya kuufahamu vizuri muziki huu wa bongo flava
BOEING 787 – 8 (DREAMLINER) YA ATCL ILIYOKO MALAYSIA KUREJEA JUNI 2024
-
Dar es Salaam, 11 Mei 2024
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inaujulisha umma kuwa taarifa inayosambaa
kuhusu ndege yake aina ya Boeing 787- 8 yenye usajili...
3 hours ago
zote ni harakati.pa1 sana..
ReplyDeletekuna umuhimu wa kulifanya hili na ndio maana wasanii wanaumiza vichwa vyao kuangalia ni lipi wanaweza kufanya ili kuusukuma mbele huu muziki wetu wa kizazi kipya.
ReplyDelete