PHD ameamuwa rasmi kutojihusisha tena na maswala ya filam na zaidi muda wake atakuwa anautumia katika muziki.
Sababu ya mkaka huyu kufanya hivyo anasema "Nahisi bado sijatimiza na kuyatekeleza yale yote niliyofundishwa na mwalimu wangu kule Nairobi kwenye project fame, sasa najipanga na ngoma mpya inaitwa Far Away" Hayo ndio maneno ya Hemed na ndio uwamuzi wake kwa sasa.
mmmh haya sie twangoja!
ReplyDelete