.

Wednesday, July 14, 2010

AL BATA...MARUFUKU KULIWA ZENJI!

Wimbo wa Mhhhh Mhhhh....Al Baaaataaaa toka kwa Offside Trick umepigwa marufuku visiwani Zanzibar.

Kwa mujibu wa mmoja wa memba wa kundi hilo,Lil Ghetto wimbo wa Al Bata umepigwa marufuku kupigwa kwenye Radio Stations zote,Night Club,pamoja na Video yake pia kutokuoneshwa na tangazo hilo pia limetolewa kwenye runinga ya TVZ.....Nyunyuz zinadai kuwa hata wimbo wa "AHMADA" nao umefungiwa kwa kua eti unamlenga mmoja wa kiongozi wa ngazi za juu visiwani humo....NISIJE NIKAKOSA MIEEEEE.....NIKAKOSAAAAA!

1 comment:

  1. Kwanini wasiwachukulie hatua tu,,kieleweke,,,tuone kama huyo kiongozi hajapigwa mtama

    ReplyDelete

,