"Mapacha Wasiofanana" Mwana Fa na AY wanatarajiwa kuondoka next week ya wiki ijayo kwenda Ulaya kwenye nchi za Finland,Holland,Denmark,Norway,Italy
na Sweden kuwahamasisha watu wasije mjini ambapo watakua huko kwa zaidi ya mwezi mmoja wakipiga show ya Hip hop ya kutakata...
Kila la kheri wana,Mpeni hi 'PWEZA WA UJERUMANI' mkikutana nae,nasikia yu waishi huko!!!
vipi oa walienda ulaya gani mbona hatuja wa ona wala kuwaskiya?
ReplyDelete