Mchizi anajulikana kama Nazir Ally AKA Naz D (shati jekundu) toka pande za Zenji ameibuka na kudai kuwa Beat ya Usije Mjini ambayo wana AY & FA wametia mavocco humo ndani ni mali yake na aliinyonga Producer Pancho na Pancho ameitoa bila ridhaa yake,na yeye kudai kua haina kwere ila yeye nae atatoa ngoma kwa beat hiyo hiyo.....na atakuja mjini na track yake!!!
DKT. MWIGULU AAGIZA UTHAMINI UKAMILISHWE, WANANCHI WALIPWE FIDIA KUPISHA
UWEKEZAJI
-
▪️︎ Ataka maandalizi ya eneo la ekari 50 kwa shughuli za kiuchumi za vijana
yaharakishwe
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kukamilishwa haraka kw...
2 hours ago

huyo dogo hana jipya
ReplyDeletecoz wengi walikuja na swaga kama zake
likin wapo kapuni
thats y Afande alisema si lazima wote tuwe mc..,
Big Up tu bbbb binamu & Ambwene y,
heeee jaman huyo c wa pangan? kwao pangan bana cyo zenji alah sasa kama kaibiwa anatake?
ReplyDelete