.

Thursday, March 11, 2010

POLE SANA NDUGU YANGU MADEE..

Madee akiwa na Pendo
Dah... Madee kwa sasa yupo kwenye wakati mgumu sana baada ya mpenzi wake kipenzi Pendo kufariki katika ajali ya gari iliyo tokea jana dodoma.

Pendo alikuwa anatoka dar kwenda dom kwa ajili ya kuendelea na masomo lakini kwa mipango ya mungu ndio haya yametokea, kwa sasa mwili wa marehemu upo hospitali ya Tumbi, nitakufahamisha zaidi baadaye kidogo
.

Picha hii nimeitoa kwa anko michuzi ni taswira ya hiyo ajali.

3 comments:

  1. dah! jamani inapain sana, inasikitisha sana mnaagana na kila mmoja anatawanyika halafu baadaye unapata taarifa ya msiba hasa kwa mtu muhimu kama ilivyokuwa kwa madee. no way out alichopanga mungu binadamu huwezi kukipangua. POLE SANA MADEE.

    ReplyDelete
  2. Hey Dulla..mzima!
    Nimecheki sehemu ya kukutumia email siioni...Ok hebu chukua hii;info@angaliabongo.co.tz unitumie email niweze kupata email yako na piaaaa......namba yako ya kiganjani...sawa?!
    Halafu acha uvivu..hebu update bana!
    Sarah

    ReplyDelete
  3. pole sana ndugu yetu madee,ulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi.tupo pamoja nawe ktk kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete

,