Huyu ndio Fergie bi shosti ambaye yu-mbioni kutoa manukato yake..
Mmoja wa waimbaji kutoka kundi la Black Eyed Peas, namzungumzia Fergie anatarajia kuzinduwa manukato ya kike ambayo yataanza kupatikana kuanzia mwakani. Kampuni ya Avon imetoa nafasi kwa mwanadada huyo kubuni aina ya manukato ayapendayo. Manukato hayo yataanza kuzinduliwa sehemu nyingine duniani kabla ya kuzinduliwa rasmi nchini Marekani.
Kundi la Black Eyed Peas
BOEING 787 – 8 (DREAMLINER) YA ATCL ILIYOKO MALAYSIA KUREJEA JUNI 2024
-
Dar es Salaam, 11 Mei 2024
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inaujulisha umma kuwa taarifa inayosambaa
kuhusu ndege yake aina ya Boeing 787- 8 yenye usajili...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment
,