Muheshmiwa naye ndani ya nyumba katika fainali za BSS ni Zito Kabwe mbunge wa Kigoma kaskazini.
Muite Shaaaa... Msanii wa muziki wa bongo flava alikinukisha mbayaaaa katika fainali za BSS
Huyu jamaa alikuwa na jukumu moja tu la kuwaburudisha mashabiki wa BSS waliohudhulia katiaka fainali za BSS zilizo fanyika katika ukumbi wa Diamond jubilee. Anaitwa AY.
Abubakari mzuri nimoja kati ya vipaji vilivyo ibuliwa na BSS, Hapa alikuwa back stage akisubili kukisanuwa katika fainali hizo katika ukumbi wa Diamond jubilee.
Mkali wa kugiza sauti za viongozi mbali mbali hapa nchini steve nyerere pia alikuwa ni mmoja kati ya wasanii walio kamuwa vilivyo katika fainali za BSS, Kuna mtu kanusanuwa kuwa huyo wa pembeni yake ni mtalajiwa wake mmh... sijuwi...
Warembo walikuwa wakutosha si unamuona hapo bi shosti Jacline Wolper msanii wa maigizo bongo ambaye kwa sasa anaumiza kichwa wakongwe katika tasnia hiyo ya movie bongo, Alikuwepo katika fainali za BSS
Watu wengi walijitokeza kushuhudia fainali za BSS katika ukumbi wa Diamond
Chief judge Rita paulsen umakini asilimia mia...
Mmoja wa ma judge wa shindano la BSS Mr. Kitime akiwa makini kazini..
MICHEZO NI AFYA, NI FURSA YA AJIRA - MAJALIWA
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani,
ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa mwilini.
“Kama mnavyofahamu, michezo ...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment
,