ASKOFU MKUU WA KANISA ANGLIKANA CANTERBURY JUSTIN WELBY AWASILI ZANZIBAR
-
Kushoto ni Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby pamoja na Askofu Mkuu wa
Kanisa Anglikana Tanzania Maimbo Mndolwa.
*Atembelea maeneo yaliyoendes...
1 hour ago
Kaka Bukuku anatupa TASWIRA njema saana kwa hakika.
ReplyDeleteNamshukuru kila iitwayo leo na naamini ataendelea kuwa na afya njema na kuendelea kutuhabarisha, kutuelimisha, kutuonesha na kutupa kwa kila kila kitokeacho mbele ya kamera yake yenye shangwe tele
Kuwa kwenye kiota chake hunifanya niwe na FULL SHANGWE
Blessings