Mshidi wa Tusker Project Fame kwa mwaka huu Alpha Rwangira.
Mshindi wa shindano la kutafuta vipaji vya kuimba, Tusker Project Fame Alpha Rwangira kotoka Rwanda amealikwa kufanya onyesho siku ya Kenyatta tarehe 20/10/09 nchini Kenya.
Onyesho hilo ambalo linatarajiwa kufanyika jijini Nairobi, litahudhuliwa na Rais Kibaki na Waziri mkuu Raila Odinga. Alpha ameondoka na kitita cha dola milloni tano baada ya kunyakuwa ushindi katika mashindano hayo.
RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KANISA LA ANGLIKANA UKIONGOZWA NA
ASKOFU MKUU MHASHAMU JUSTIN WELBY
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na mgeni wake Askofu Mkuu Mhashamu Justin
Welby,mazungumzo h...
33 minutes ago
No comments:
Post a Comment
,