Huu mzigo utasababishwa tarehe 31 oct. kuanzia mida ya saa mbili usiku kiwanja ni kile kile cha kila siku pande za upanga Diamond Jubilee, Mzuka utasababishwa na Mrisho Mpoto, Professor Jay, Fid Q, TMK Wanaume Halisi pamoja Zahrbat Hip hop kutoka France.... Huu ndio Mpango Mzima.
Kumbuka tu mzigo huu umedhaminiwa na EAST AFRICA RADIO pamoja na EAST AFRICA TV.
MERIDIANBET YAPELEKA TABASAMU KIGAMBONI SIKU YA KINA MAMA
-
KAMPUNI ya Meridianbet imefanikiwa kupeleka tabasamu Kigamboni eneo
linalofahamika kama mji mwema, Kwani wataalamu hao wa michezo ya kubashiri
wamefika...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment
,