Nilikufahamisha kuwa wasanii wa Bongo Flava pamoja na wangoma za asili watafanya show katika nchi tatu tofauti, ETHIOPIA,ADDIS ABABA na FINLAND (HELSINKI). Wasanii hao ni pamoja na Dudu Baya, Benjamini wa Mambo jambo pamoja na kikundi cha ngoma za asili kinaitwa Sanaa Sana, Sasa kimeshaanza kunuka pande za hukooooo.... Helsinki huu ni mwanzo tu bado wana vimeo zaidi na watarejea nyumbani tarehe 18 November.
KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA
-
Na Munir Shemweta, KITETO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment
,