Radio na Weasel wamekuwa ni wasanii pekee kutoka Afrika Mashariki kunyakuwa tuzo ya Afrika Music Awards ambazo zimefanyika hivi karibuni jijini London. Wawili hao wameshinda tuzo hiyo ya wasanii bora kutoka Afrika Mashariki. Katika tuzo hizo wasanii wa Nigeria ndio wameongoza katika kushinda tuzo wakiwa wamekusanya tuzo nne na kufuatiwa na wasanii kutoka Egypt ambao walikusanya tuzo tatu.
KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA
-
Na Munir Shemweta, KITETO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment
,