Danny Glover akiwa mzigoni..
Muigizaji Danny Glover anatarajia kutuwa jijini Dar es salaam kwa ajili ya kongamano la kimataifa la waafrica waishio nchi za nje liitwalo 'Africa Home Coming' Kwa mara yakwanza kufanyika jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 25 hadi 30 mwezi huu. Haya waigizaji wetu wa Bongo Danny Glover anatimba Bongo je mnafahamu....?????
MSAMA AMKUMBUKA HAYATI BERNARD MEMBE,AWAOMBA WATANZANIA KUMKUMBUKA, KUMUENZI
-
Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI wa Msama Promotion, Alex Msama amewaomba Watanzania kukumbuka na
kuenzi mambo mema yaliyofanywa na aliyewahi kuwa Waziri...
36 minutes ago
No comments:
Post a Comment
,