.

Tuesday, May 25, 2010

...AKA SAVIMBI,AJA KIMATAIFA ZAIDI!

Q-Chillah AKA Savimbi ametoa jiwe jipya "Nyimbo Tamu" ambayo Lamar amenyonga beat,na Mamaa Dida akisimamia mpango mzima.hii single itakua ya 2 kwenye Album yake mpya itakayoitwa "A SIGN OF MATURENESS" itakoyokua na track 14,na kwa sasa michongo inaendelea ili Lamar asimamie mzigo mzima.

CHILLAH!....Thanx 2 Dida Fashion,Lamar,Fans 4 being patience na Media zote kwa support...I'M BACK....LUV U...!!!

No comments:

Post a Comment

,