.

Thursday, May 27, 2010

NAKAAYA...MH. MTARAJIWA TO BE!!

Mwanamuziki Nakaaya Sumari ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa viti maalum mkoani Arusha kupitia Chama Cha Chadema.
Kwa sasa ameshachukua fomu za kugombea nafasi hiyo,na alisema kilichomsukuma ni uchungu alionao katika kuwatetea akina mama,hususan masuala ya afya na uzazi.
.............KILA LA HERI MHESHIMIWA MTARAJIWA..GOOD LUCK!!

No comments:

Post a Comment

,