.

Wednesday, May 19, 2010

AMANI HAYUKO "PREGNAA"

Diva toka Kenya,Amani ametupia kapuni uvumi kuwa yeye ana ujauzito,na kudai kuwa yuko studio akitia mavoco ili atoke na album mpya.Pia atakua kwenye movie ambayo yeye atakua producer msaidizi.

No comments:

Post a Comment

,