.

Tuesday, May 25, 2010

..''ALMASI'' YALA KICHAPO..IRINGA!

...Diamond akikamua...Miss Iringa 2010..!

Mshindi wa Tuzo 3 za Kili 2010,Diamond amechezea kichapo Mkoani Iringa mara baada ya kushuka kwenye stage alipokua anapiga show ya Miss Iringa 2010.

Baada ya kutoka nje ya Ukumbi,Diamond alimtukana Dj Muba aliyekua anasema na wana katika show hiyo,na kumuonyeshea ishara ya kidole cha kati,na kufanya Fans wa Dj huyo kum-mind kwa kua mchizi wao ndio anawarusha kwenye Radio na Club VIP,so zilitembea ishara tu kimyakimya na wana wakaanza kumpa kipondo a.k.a kichapo huku wakimwambia kua Dj wao Muba ni star mara 100 kwao zaidi yake,na kama ni tuzo na u-star ni kivyake-vyake.

...Pole mwana...si kupenda kwako ni hali ya maisha...!

source; francisgodwin@blogspot.com

No comments:

Post a Comment

,