PLANET BONGO KILA JUMAMOSI SAA NNE ASUBUHI EAST AFRIKA RADIO NA KILA JUMA TANO SAA TATU KAMILI USIKU EATV.
KUWA MAKINI
TULIA NA MMOJA UNAYE MPENDA, ACHA NGONO ZEMBE
POWER JAMS
POWER JAMS,JUMATATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 10 ALASIRI EAST AFRICA RADIO.
MATING'A
DEEJAY AD a.k.a MAFUVU.
KUTANA NA DEEJAY AD KWENYE POWER JAM KILA J.3 NA ALHAMISI (1:00 - 4:00 pm), THE CRUISE J5 (8:00-9:00 pm), PLANET BONGO JUMAMOSI (10:00 - 12:00 pm) & FNL. NDANI YA EAST AFRICA RADIO & TV, TING'A KALI NAMBA MOJA KWA VIJANA
...BATA NITE!!!
SAUZ...2010!!!
Friday, May 21, 2010
..REST IN PEACE WALIOTUTOKA...MV BUKOBA!
Meli Ya MV Bukoba...ikizama Ziwa Victoria,Miaka 14 iliyopita!
Makaburi ya pamoja ya ndugu zetu...Igoma-Mwanza.
Mnara wa Kumbukumbu...
Ijumaa,tar 21 May,imetimia miaka 14 tangu itokee ajali ya MV Bukoba,tarehe kama hii mwaka1996 ktk Ziwa Victoria.Iliyoua Ndugu,Jamaa na Watanzania wenzetu zaidi ya 1,000 na kupotea kwa mali zao pia....REST IN PEACE...WOTE MLIOTUTOKA,MOURN TILL WE JOIN YOU!!!!
NI WEWE KAMPENI, MAENEO YA ITUNUNDU PAWAGA JANA
-
Ni Wewe ni kampeni iliyozinduliwa na redio Ebony FM iliyoko Nyanda za juu
kusini, ikiwalenga zaidi wananchi wa vijijini ambao miundo mbinu ya umeme ...
HARD PRICE COMING SOON
-
* Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa
kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisinge...
No comments:
Post a Comment
,