.

Wednesday, May 26, 2010

MAONI YA MDAU TOKA USA KUHUSU...ROMA!

Roma...TZ Hip Hop Artist!

Unajua wewe umechanganya vitu viwili.. Uhalisia na Hasira,Kuna kitu unatakiwa ufaham kukosa tuzo haina maana wewe sio bora,ilamwenzio anaweza kuwa bora zaidi yako na kamwe usiji judge wacha watu waku judge, Mimi naamini kabisa ni kweli tuzo zina kasoro ingawa siku zote hazikosekani,umezungumzia wasanii wa hip hop kama wa tatu ungetaja tu majina acha majungu dogo umezungumzia fid, joe na chid.


Sasa tuje kwenye uhalisia,katika nguzo za sanaa kuna kuburudisha pia na kuna uwezekano mkubwa tu kigezo hicho kikampa kura mtu, mfano,kuliko anzia chimbuko la hip hop (marekani)kuna watu kama talib kweli, common,nas na wengine wengi tu hawa ni watu wanaoongea vitu vya msingi na wana heshima yao kwa hilo ila tuzo ya kwanza ya common kapata mwaka 2008,kwenye beef ya Nas na jigga.. Jigga ni street commercial Nas ni street sence na kila mmoja ana nafasi yake ingawa Jigga ni more successful than Nas.

Nimezungumza haya kwa kuwa wewe na nyimbo yako ya president ambayo kimsingi umeongea vitu vya msingi sawa ila haina maana eti iipiku danger kisa ni more commercial aah men kama ingekuwa hivyo basi wagosi wangejaza kabati hatuendi hivyo grow up son! Kila mmoja ana nafasi kulingana na upokelewaji na hata promo.. wakati Fif anatoa album na Kanyiz pamoja watu walijua Fif atam-out sale kanye but its not all bout Fif its bout label n promo sometimes.. umezungumzia kuhusu mtu mwenye jina na album yes ni kweli mwenye jina na album ana nafasi kubwa coz yupo masikioni mwa watu sana kuliko wewe mwenye single moja..

weezy is the best emcee alive but wat does he talk n is music...? rubbish innit? Drake ni hit wa 2009 ila legends are gretest of all times... acha upuuzi wa kujiona bora kaza matako fanya kazi za maana inshaalah utapata tuzo give 110% kazizako punch lines na concious za kufa mtu utafanikiwa sio single moja kelee kuliko uwezo, na kama ni hivyo i blv utatoka na album sio? sasa tutaona kama nyimbo zote utaongea sence na hautozungumzia majigambo na ndio maana ya hip hop.

Mwanaharakati wa Hip Hop
USA


.....THANX MDAU TOKA KWA OBAMA!
Dat it iz son...umeongea ukweli sana mchz wa kwa Obama,kina Krs One na wanahphop wengine conciouz hawalambi tuzo km kina Snoop though lyrics zao zina utofauti mkubwa...huyo Roma anaandika lkn c kiviilee km kina Kikosi,mapacha,watengwa,river camp na hata Sugu ila tuzo kwao wanaziskia kwny radio...dogo akaze mwanzo mwisho atatoka tu kuliko kuanza kumuongelea Fid au Joh Makini nadhani ni non sense....rrrrrrrrraaaaaaaaaaaah Hip hop 4 life!!!
*****
************************************
....Nimekusamehe wangu...1 Love,Keep it Real!!....MDAU

4 comments:

  1. Dat it iz son...umeongea ukweli sana mchz wa kwa Obama,kina Krs One na wanahphop wengine conciouz hawalambi tuzo km kina Snoop though lyrics zao zina utofauti mkubwa...huyo Roma anaandika lkn c kiviilee km kina Kikosi,mapacha,watengwa,river camp na hata Sugu ila tuzo kwao wanaziskia kwny radio...dogo akaze mwanzo mwisho atatoka tu kuliko kuanza kumuongelea Fid au Joh Makini nadhani ni non sense....rrrrrrrrraaaaaaaaaaaah Hip hop 4 life!!!

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. duh mwana nisamehe nimekuharibia inaonyesha kulikuwa na matatizo comments hazikuwa published na hazikuwa na matusi wala nini na nikadhani hujaweka kwa kuwa ilikuwa inamkosoa huyo dogo anyway unaweza itoa hy comment ya matusi hapo so issue ... one love

    ReplyDelete
  4. co ishu kivile,kla m2 ana uwezo wa kutoa maon c.ze don mito

    ReplyDelete

,