Mkongwe wa Reggae toka Jamaica,Don McCarlos AKA Don Carlos (Muasisi wa BLACK UHURU) atashuka kwa Kibaki,Kenya kupiga show kadhaa,mwezi huu tarehe 29 na 30,katika tamasha litakaloitwa SAWASAWA na litafanyika kwenye viwanja vya Kasarani...Pia mtu mzima CMB Prezzo nae amepata shavu kusimama na Don Carlos.
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
10 hours ago

No comments:
Post a Comment
,