.

Friday, May 21, 2010

TUZO ZA MUZIKI - ZANZIBAR 2010

Tuzo za 5 za Wanamuziki walio-shine (Zanzibar Music Awards 2010) zinatarajiwa kufanyika,kisiwani humo 26 Juni 2010 katika Ukumbi wa Salama-Bwawani Hotel.Cheki Wasanii na category zao hapo chini..na Mishe mishe za kupiga kura kuwachagua washindi wa Tuzo hizo,zinaanza Tar 22 May mpaka 23 Juni.

MUIMBAJI BORA WA MWAKA

BABY J – NITEMBEE MBELE
MTUMWA MBAROUK – UNANITAFUTA UNDANI
RICO SINGLE – WACHA WAONGEE
MAKAME FAKI – VYA KALE NI DHAHABU

MUIMBAJI BORA WA MWAKA WA KIUME MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MANYOTA – UNANITESA
BERRY WHITE – MAMBO VIPI
T GUWAY – MAUMIVU YA PENZI
JUMA 20 – JUNE JULY
RICO SINGLE – WACHA WAONGEE

WIMBO BORA WA MWAKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MAMBO VIPI – BERRY WHITE
JUNE JULY – JUMA 20
TAMBUA – I T
WACHA WAONGEE – RICO SINGLE
CHAGUO LANGU – DORICA

WIMBO BORA WA COLLABO MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

NITEMBEE MBELE – BABY J
HAWANA NENO – DIDA
JUNE JULY – JUMA 20
COLLABO – SHORTGUN

WIMBO BORA WA MWAKA TAARAB YA KISASA

HATUPUMUI - FATMA HASSAN ( SPICE MODERN )
ONCE MORE – ZUHURA SHAABANI (ZANZIBAR ONE)
TUNAPENDANA KWA SANA – TAHIR KHAMIS ( SAFINA MODERN)
NIDHIBITI - SAADA NA SSOR ( ZANZIBAR ONE)

MTUNZI BORA WA MWAKA

MOHAMMED S. NASSOR – HATUPUMUI
SAID BAKAR – WEMA WANGU MTIHANI
MANYOTA – UNANITESA
ALHAJI GOYA – MWANAJESHI HALISI

PRODUCER BORA WA MWAKA

AYOUB BEBE – MAUMIVU YA PENZI
AROON NAME – WACHA WAONGEE

MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA

NASSOR AMOUR
A.T
POZI ADIMU

MUIMBAJI BORA CHIPUKIZI

DIDA – ACHANA NAO
DOGO FANI – KISA CHA MAMA
SULTAN BAKAR – SARAFINA

ALBUM BORA YA MWAKA

HATUPUMUI – SPICE MODERN
KAMA NI RAHISI – ZANZIBAR ONE
TUNAPENDANA KWA RAHA ZETU - SAFINA MODERN

MUIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB ASILIA

IDDI SUWEID – NINAE
MOHAMMED ILYAS - NIMESAFI MOYO
MAKAME FAKI – VYA KALE DHAHABU

MUIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB ASILIA

FAUZIA ABDALLA – LISHALO
MTUMWA MBAROUK – WANITAFUTA UNDANI
FATMA ISSA – HAYA MAUMBILE YANGU

MUIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB YA KISASA

ZUHURA SHAABAN – ONCE MORE
FATMA HASSAN – HATUPUMUI
SAADA NASSOR - NIDHIBITI
RUKIA RAMADHAN – DAM DAM

MUIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB YA KISASA

HAFIDH ABDUL SALAAM
IBRAHIM KHAMIS – ONE CHANCE
TAHIR KHAMIS – TUNAPENDANA KWA RAHA ZETU

MUIMBAJI BORA WA KIKE MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

BABY J – NITEMBEE MBELE
DORIKA – HAWANA NENO
DIDA - ACHANA NAO

KIKUNDI BORA CHA MWAKA NGOMA ASILIA

CHEKA NAO – JANG'OMBE
IMANI NGOMA – KARIAKOO
SANAA – KARIAKOO
SHIRIKISHI – MAGOMENI

No comments:

Post a Comment

,