.

Tuesday, May 25, 2010

...HEEE...BRAZIL KUTUA BONGO?!!

...Brazil AKA Selecao wakiagwa na Rais wa Brazil,Lulu Da Silva (mwenye jezi No 2 ya Maicon) ni 1 st Lady wao,Marisa Leticia!

...Brazil...!
...Uwanja wa Taifa ukiwekwa sawa kwa kipute...!

Timu ya taifa ya Brazil chini ya Kocha wao "Captain Dunga" watatua Bongo tar 5 Juni wakitokea Sauz' kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars,June 7 Uwanja wa Taifa na baadae kurudi tena Sauz' kwenye Kombe la Dunia....TFF chonde chonde baba kiingilio,isije ndo ikawa wakati wa mavuno tena.mtufikirie na wenye kipato cha chini...eeeeeh!

No comments:

Post a Comment

,