.

Sunday, May 23, 2010

WAZEE WA ''AL BATA'' ..AHMADA VIDEO COMING SOON!

Washikaji wanaounda kundi zima la Offside Trick,Muda Cris na Lil Ghetto wamemaliza kupiga video ya track yao mpya AHMADA FT Bi Kidude ambayo itatoka soon...na kukwea pipa kwenda kuwalisha bata Umangani kupiga Show katika miji ya Dubai na Muscat...kuanzia mwezi Juni.

No comments:

Post a Comment

,