skip to main |
skip to sidebar
SHAA AGONGESHA VIDEO YA SHOGA
AKA Shaa au Sarah Kaisi toka MJ Records,amegongesha video ya ngoma yake mpya ya SHOGA na mtu mzima Adam toka Visual Lab ndio amehusika na upigaji video....Kama umekodolea macho EATV utakua umeicheki,kama vp cheki EATV,Ijumaa kwenye "ALL BANGAZ'' kwani ni video kali ile mbaya...!!!
No comments:
Post a Comment
,