.

Tuesday, May 25, 2010

D'BANJ ATOKA NA SINGLE!


Genevieive Nnaji

Mwanamuziki na Perfomer Bora wa Mwaka wa Tuzo Za MTV 2009,D'Banj ametoa single mpya Mr Endowed ikiwa ni maandalizi ya kutoa Album yake mpya 2010.

Mwana kwa sasa ame "Fall in Love" na Mkali wa Movie za Nollywood,Genevieve Nnaji,na D'Banj ambaye ana CV nzuri ya kufanya ngono kabla ya kupanda stejini kupiga show,amesema kwa Gene amefika ''Kigoma mwisho wa Reli''.....!

No comments:

Post a Comment

,