.

Wednesday, June 2, 2010

AY ANG'AZA TUNZO ZA MUSEKE.

Kidume cha mzee Yesaya kinazidi kufanya poa katika huu ulimwengu wa muziki na kuisimamisha dede bendera ya Tanzania... Hapa namzungumzia kijana anayemiliki kampuni ya rubudani inayoitwa Unit Entertainment... Ni A.Y

Ameshinda tunzo ya East African song of the year kupitia wimbo wa LEO katika tunzo za Museke za Ghana.. Na leo hii anaenda Kampala kwa ajili ya kufanya show katika fainali za Pilsner Djs Spinning.

"Napenda kuwashukuru mafans wote walioni support kwa kunitakia kheri na kunipigia kura katika tunzo za Ghana zijulikanazo kwa jinala la Museke na kufanikiwa kushinda.. na ushindi huu si wa A.Y peke yake bali ni ushindi wa Tanzania, Mashabiki wa A.Y na mashabiki wa muziki kiujumla.. Nafanya kazi sana , mnanipa support kubwa na mafanikio bado hatujayafikia so mo faya" Hayo ni maneno ya A.Y

6 comments:

  1. hey...niaje jamani....hivi AY kachukua TUNZO au TUZO?

    ReplyDelete
  2. NI TUNZO BRO SIO TUZO.. ILA WENGI WETU TUMEZOEA KUTAMKA TUZO NA TUNAELEWANA ILA SAHIHI NI TUNZO.. KARIBU TENA.

    ReplyDelete
  3. Asante japokuwa bado nina swali...nijuavyo mimi TUNZO na TUZO kwa kiingereza tunaweza ziita kama REWARD and AWARD,so if he was REWARDED amma call it TUNZO buh if he was AWARDED nadhani itakua ni TUZO,waonaje hapo mpendwa?

    ReplyDelete
  4. by the way!!!,mambo niaje lakini,kazi zinasonga?

    ReplyDelete
  5. mungu anasaidia ndugu mishe zina songa...!!

    ReplyDelete
  6. rrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaa.....one!!!

    ReplyDelete

,