Mwanadada Nazizi toka Kenya anayeunda kund ila Necessary Noise na Wyre,Pamoja na lile la East Africa Bashment Crewinasemekana amejifungua hivi karibuni baada ya kuolewa kwa siri kwa zaidi ya miaka 2 sasa huku siri hiyo ya kuolewa kwake ilikua inajulikana kwa watu wake wa karibu wa familia tu...!KILA KHERI SISTEE....MIAAAAAA!


No comments:
Post a Comment
,