skip to main |
skip to sidebar
MHHH!...ZIMBABWE 0 - BRAZIL 3
Timu ya taifa ya Brazil ''El Selecao" imeifunga timu ya taifa ya Zimbabwe ''The Warriors'' kwa goli 3 bila mbele ya watazamaji 60,000 kwenye uwanja wa taifa jijini Harare kwa magoli ya Bastos dk. 41,Robinho dk. 44 na Elano dk,56.Tarehe 7 June,Brazil itakua nchini Tanzania kucheza na Timu ya taifa ya Tanzania ''Taifa Stars" kwenye uwanja wa Taifa,Dsm
No comments:
Post a Comment
,